0 DAYS TO THE EVENT
Semina ya Jinsi Ya kukuza Biashara kupitia mfumo wa kidigitali- Dar es Salaam
Kama unahangaika kupata wateja au kukuza biashara kidigitali basi shida hiyo imeisha. Tumekuandalia Semina ya masaa 4 ambapo utajifunza namna bora ya kuifanya biashara yako ipae kwa kutumia mfumo wa kidigitali. Watu 20 wataingia bure, Watakaowahi watalipia 15,000 wengine 20,000 mlangoni 30,000 wahi
When
Dec 14, 2019, 10:00 AM – 2:00 PM
Where
Travertine Hotel,
1 Mpiji St, Dar es Salaam, Tanzania
  • Instagram
  • Twitter Social Icon
  • Facebook Social Icon
  • LinkedIn Social Icon

© 2019-2020 Tanzania Digital Care, All rights Reserved